Mshirika Wako wa Kuaminika Katika UsafirishajiYour Trusted Partner in Transport & Supply Chain

SIBEX HUB LIMITED ni kampuni ya kisasa ya usafirishaji inayotoa huduma jumuishi za malori, uhifadhi wa maghala na usambazaji wa mizigo kote Afrika na kimataifa. SIBEX HUB LIMITED is a modern logistics company providing integrated trucking, warehousing and distribution services across Africa and beyond.

Kwa miundombinu imara na wafanyakazi wenye uzoefu, tupo tayari kubeba mzigo wako popote ulipo — kwa wakati na kwa gharama nafuu. With strong infrastructure and an experienced team, we're ready to move your cargo wherever it needs to go — on time and at a fair cost.

Wasiliana NasiGet in Touch
Sibex Hub Limited

Kwa Nini Wateja WanatuaminiWhy Customers Trust Us

Maadili haya yanaongoza kila uamuzi tunaofanya na kila mzigo tunaousafirisha.These values guide every decision we make and every load we carry.

Umakini kwa MtejaCUSTOMER FOCUS

Mafanikio yako ni kipaumbele chetu. Understanding our customers and delivering solutions that create value.

Usalama KwanzaSAFETY FIRST

Tunalinda watu na mizigo. Protecting people, vehicles, cargo, and the environment.

UbunifuINNOVATION

Suluhisho la kisasa kwa kila mahitaji. Finding better and smarter ways to deliver logistics solutions.

UadilifuINTEGRITY

Tumejengwa kwa uaminifu, tukiongozwa na maadili. Building relationships through honesty, transparency, and accountability.

Utendaji BoraPERFORMANCE

Tunapimwa kwa matokeo tunayoyaleta. Striving for reliable service, efficiency, and excellent results.

MawasilianoContact Info

AnwaniAddress Harbour View Towers, Ghorofa ya 8, Ofisi Na. 806, Kiwanja Na. 2317/108 & 2318/108, Barabara ya Samora, Dar es Salaam, TanzaniaHarbour View Towers, 8th Floor, Office No. 806, Plot Nos. 2317/108 & 2318/108, Samora Avenue, Dar es Salaam, Tanzania
Barua PepeEmail info@sibexhub.co.tz