Maswali
Yanayoulizwa
Frequently Asked
Questions

Tunapendekeza kuangalia hali ya mzigo wako mara kwa mara kwa mizigo ya kimataifa. Timu yetu itakujulisha mara moja endapo kuna mabadiliko yoyote muhimu.

We recommend checking your shipment status every 12-24 hours for international freight. Our team will notify you promptly of any important updates.

Wasiliana na timu yetu ya huduma kwa mteja mara moja — tutakupa taarifa halisi na kuchukua hatua za haraka kutatua tatizo.

Contact our customer support team right away — we'll give you an honest update and act quickly to resolve the issue.

Ndiyo. Tunatoa ufungashaji maalum na ushughulikiaji wa uangalifu kwa bidhaa dhaifu na zenye thamani.

Yes. We offer specialised packaging and careful handling for fragile and high-value goods.

Tunatoa usafirishaji wa mipakani kwa barabara kwenda nchi jirani, pamoja na uratibu wa forodha na nyaraka.

We offer cross-border road transport to neighbouring countries, along with customs and documentation coordination.

Ingawa si lazima kila wakati, tunapendekeza bima kwa mizigo yenye thamani kubwa. Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi.

While not always required, we recommend insurance for high-value cargo. Contact us for further guidance.

MawasilianoContact Info

AnwaniAddress Harbour View Towers, Ghorofa ya 8, Ofisi Na. 806, Kiwanja Na. 2317/108 & 2318/108, Barabara ya Samora, Dar es Salaam, TanzaniaHarbour View Towers, 8th Floor, Office No. 806, Plot Nos. 2317/108 & 2318/108, Samora Avenue, Dar es Salaam, Tanzania
Barua PepeEmail info@sibexhub.co.tz